Wana WOW Africa wakitoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa walipotembelea Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili katika wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani .

– Women on Wheel Africa ni mpango maalimu wa kumkomboa mwanamke kiuchumi kupitia sekta ya Usafirishaji –

WoW watoa misaada Taasisi ya MOI