Mkurugenzi wa Women on Wheel Africa, Marting Gabone, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati taasisi hiyo ilipotembelea Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili katika wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani.

– Women on Wheel Africa ni mpango maalimu wa kumkomboa mwanamke kiuchumi kupitia sekta ya Usafirishaji –

Ziara ya Mafunzo Taasisi ya MOI