Baadhi ya wana WOW Africa wakiwa katika zoezi la uchangiaji damu katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili walipotembelea wagonjwa katika wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani. WOW ilitembelea taasisi ya MOI kama moja ya sehemu za kuona madhara ya ajali za barabarani.

– Women on Wheel Africa ni mpango maalimu wa kumkomboa mwanamke kiuchumi kupitia sekta ya Usafirishaji –

WoW wachangia damu Muhimbili